Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 500,000

NYUMBA NZURI YA KISASA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6

ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 01/02/2025 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO

🌟 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO

#VYUMBA 4 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#STORE
#PUBLIC TOILET
#PARKING

BEI NI 500,000/= X 6

🇹🇿 NYUMBA HII INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.8 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA

PIA UNAWEZA KUPITIA KIMARA TEMBONI NA UKAFIKA KWENYE HII NYUMBA NA NJIA ZOTE NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

========

CONT

0683234124

0718367179

Dalali Bony Kimara Mbezi
dalali_bony_kimara_mbezi
Dalali Bony Kimara Mbezi

Similar items by location

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
  • By Installment

Sh. 1,200,000

APARTMENT FOR RENT – MBEZI BEACH, MASANALocation: Mbezi Beach, MasanaPROPERTY FEATURES: • 2 Bedrooms...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 15/05/2025 🌟 APARTMENT HII INA SI...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 400,000

#VYUMBA_VIWILI _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENTIKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- MBEZI BEACH JUUKWA S...

Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

Apartment House for rent Chumba sebule jiko chooPrice 300,000KwamweziMalipo miezi 6Location mbezi be...

Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

KODI 150000X3 /4/5/6======APATIMENTI ZIPO MBEZI MWISHO NJIA YA MALAMBA KITUO KIFURU=======UKISHUKA H...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 15/05/2025 🌟 APARTMENT HII INA SI...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

OYAAA, NYUMBA MZURI SANA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA,NYUMBA HII KALI SANAAAA IP...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 100,000

MASTER KUBWA SANAA🔥🔥 INAPANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI NI CHUMBA KIMOJA NA CHOO NDANI UMEME MUNASHEA ...

Sh. 130,000

#AMKA NA HIII MASTER NZURI NA JIKO LAKE NDUGU MTEJAMASTER BEDROOM NA JIKO NZURI FOR RENT MBEZI KIBAN...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

OYAAA, NYUMBA MZURI SANA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA,NYUMBA HII KALI SANAAAA IP...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 15/05/2025 🌟 APARTMENT HII INA SI...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

OYAAA, NYUMBA MZURI SANA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA,NYUMBA HII KALI SANAAAA IP...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 15/05/2025 🌟 APARTMENT HII INA SI...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 85,000,000

#Repost dalali mbezi makabe msumi victa ——House For Sale 3 Bedroom Kimoja master1Setting room dainin...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

NYUMBA MZURI SANA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA,NYUMBA HII KALI SANAAAA IPO TEMBO...

Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 85,000,000

Kiwanja kinauzwa. Kipo Mbezi beach AfricanaKiwanja cha pili kutoka lamiUkubwa wa Kiwanja *Sqm 1200* ...