Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
NYUMBA KUBWA YA FAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI YAKE INAPANGISHWA 500,000/= X 6
🌟 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
# VYUMBA 4 VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#PARKING KUBWA
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
BEI NI 500,000/= X 6
💫💫 NYUMBA HII KUBWA YA FAMILIA IPO MBEZI SHULE NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU KWA MIGUU NA KUTOKEA GOBA ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 3 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
=====
CALL
0683234124