Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE MBEZI BEACH
------
Vyumba 4 vya kulala vyote master bedroom
Seble kubwa
Dinning room
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Slide window
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
---------
Service charge 20,000/=
Kodi USD 1500 kwa mwezi
-----------
Ilipwe miezi 6
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni USD 1500
------------
CONTACT
π#0676_218580 (WhatsApp)
π#0693_673010
#dalali_big_goba_mbezi_beach πΉπΏ