Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
600,000 X6. 0759151524
MBEZI MWISHO JILANI KABISA NA BARABARA
NYUMBA KUBWA YA FAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI KUBWA YA WAYA NA GETI LAKE ZURI INAPANGISHWA BEI NI 600,000/= X 6
๐ NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 4 VIKUBWA VYA KULALA KATI YA HIVYO VYUMBA 2 NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#STORE
#GARAGE
#PARKING KUBWA
#KAMA MFUGAJI HAPA NDIO MAHALA PAKE KUNA ENEO KUBWA SANA
BEI NI 600,000/= X 6
๐น๐ฟ๐น๐ฟ NYUMBA HII IPO MBEZI MWISHO JIRANI KABISA NA STAND KUBWA YA MABASI YAENDAYO MKOANI (MAGUFULI BUS TERMINAL) NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 5 TUU KWA MIGUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0679 956 863
0759151524