Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam


🌟 STAYALONE KALI SANA INAPANGISHWA 🌟
📍 Eneo: Mbweni JKT
🏠 Muundo wa Nyumba:
• 🛏️ Vyumba 4 (Vyote Master)
• 🛋️ Sebule
• 🍽️ Dining
• 🍳 Jikoni
• 🚽 Vyoo 2 vya Public
• 💧 Maji DAWASCO
• ⚡ Umeme LUKU
💸 Kodi: Million 2 kwa mwezi
➡️ (Malipo kuanzia miezi 6)
🧾 Service Charge: Tsh 50,000/=
📲 Wasiliana: 0687 800 788 / 0713 958 395


















