Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Mianzini, Dar Es Salaam







FAMILY HOUSE FOR RENT..🥰🥰..
PENGINE UNAHITAJI KUISHI MAHALI PALIPOTULIAAA?...
MIGOMBA NA UOTO WA ASILI TU....
✔️ Vyumba 4, sebule,jiko na choo,
✔️ viwili vinachoo ndani
⚡️mazingira tulivu pametulia....
⛔️MIANZINI YA JUU, ARUSHA mita 300 kutokea lami
PRICE:TSH 500,000/- ×2 months.
MAWASILIANO
📲0788 729 522