Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Mikocheni, Dar Es Salaam


NYUMBA MBILI ZA KISASA-PAMOJA (VYUMBA 7) TSHS.900 MIKOCHENI-OSAMA.
Nyumba kubwa Ina vyumba 4 ( 2 vyoo ndani)
Ndogo Ina vyumba 3( 1 Masta)
Kilauea nyumba Ina Sebule na Choo cha Familia ndani.
HIZI NYUMBA ZOTE MBILI (2)
ZINAINGIZA TSHS.3.5 MILIONI KILA MWEZI.
Kiwanja kina HATI ya Wizara na kina ukubwa wa SQM.650.
Ndani ya Fensi na Mtaa ni tulivu.
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu)
+255714591548
______________zw
Ukihitaji kukagua taarifa mapema Tafadhali.