Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Nkuhungu, Dodoma


IMESHUKA BEI NYUMBA NZUR SANA INAPANGISHWA IKO PEKE AKE KWENYE FENCE MAHALI-NKUHUNGU VYUMBA 4-2MASTER SEBULE DINING JIKO STORE NA PUBLIC TOILET KODI NI 500,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZ 6 -MAWASILIANO PIGA 0763459866 & WHATSAPP