Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Nyasaka, Mwanza


NYUMBA INAPANGISHWA NYASAKA
-ina vyumba vinne vya kulala ( kimoja ni self contained ), sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet
-nyumba moja ndani ya fensi
-nyumba iko karibu na barabara ya lami
-kodi Milioni 7 kwa mwaka
-malipo ni mwaka mzima
📞 0743220097