Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Olorien, Arusha







SPACIOUS 4BDRM HOUSE FOR RENT..🥰🥰..
PENGINE UNAHITAJI KWAAJILI YA KUISHI AU BIASHARA
✔️ Vyumba 4, sebule,jiko na choo,
✔️ vyumba vyote vinachoo ndani
⚡️mazingira tulivu pametulia....
⛔️PPF ESTATE- OLORIEN, ARUSHA mita 30 kutokea lami
PRICE:TSH 1,500,000/- ×3-6months.
MAWASILIANO
📲0788 729 522