Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Pugu, Dar Es Salaam







NYUMBA INAPANGISHWA
PUGU KINYAMWEZ
BEI 350,000
INA VYUMBA VINNE VIWILI NI MASTA
INA SEBULE DINNG JIKO TOILET PUBLC
Pia INA VYOO VYA NJEE NA JIKO LA NJEE
FULL FENCE MAJI YAPO
HII NYUMBA NDANI YA FENC PEMBEN KUNA KIKOTA CHA CHUMBA KIMOJA KWA JUU KUNA MTU ANAKAA KOO MNAKUWA WAWILI NDAN YA FENC
SERVICE CHARGE 20 UKILIPIA DALALI MWEZ 1
0614130017



















