Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Salama, Mara
#NYUMBAINAPANGISHWA. #PIAINAUZWA
👉MAHALI #KIBAHAMSUFINI
👉#UMBALI NI MWEMDO WA DK 15 KWA MTEMBEA KWA 🦿MIGUU
#SIFA_ZA_NYUMBA_NA_MAZINGIRA_YAKE
👉VYUMBA VINNE VYA KULALA
👉CHUMBA KIMOJA NI MASTER BEDROOM 🛏️
👉INA SEBULE KUBWA YENYE DINNING ROOM 🪑
👉INA JIKO KUBWA LENYE KABAT NA STORE
👉INA CHOO CHA PUBLIC CHA NDANI
👉MADIRISHA YAKE NI ALUMINIUM KAMA YANAVYOONEKANA
👉KILA ROOM INA FENI
👉INA VIBARAZA VIWILI
👉INA TANK KUBWA LA KUHFADHIA MAJI
👉NYUMBA IKO NDANI YA FENS NA SEHEM SALAMA NA TULVU
👉PIA KWA NJE KUNA JIKO NA MABANDA YA KUKU
#KWA_UPANDE_WA_KUPANGISHWA_KODI YAKE NI 250000 NA INALIPWA NDANI MIEZI MITATU MITATU ILA KAMA MTEJA UTAWEZA KULIPA ZAID YA MIEZ MITATU UNARUHUSIWA#
👉#KWA_UPANDE_WA_KUUZA_NYUMBA INAUZWA SHILING MILLION 80 TU MUUZAJI AMERUHUSU MAZUNGUMZO YA PUNGUZO LA BEI YANI DISCOUNT KWA MTEJA AMBAYE ATAKUWA YUKO SERIOUS NA BIASHARA #
👉#HII_NYUMBA_INA ENEO_KUBWA_LINALO KADIRIWA KUFIKA HEKA MOJA NA ENEO LOTE LIPO NDANI YA FENS NA LIMEPANDA MITI YA MATUNDA KAMA MIEMBE,MICHUNGWA,NA MIGOMBA
👉#NYUMBA HAINA MGOGORO WOWOTE ULE
👉#ENEO PAMOJA NA NYUMBA VINA HATI TAYARI
👉KWA TAARIFA ZAIDI
☎️ 0757208653
#VISITKIBAHA
#dalalikibahatz