Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam


🔥 FURSA YA KIPEKEE SINZA KWA REMY 🔥
Eneo tambarare lenye mazingira mazuri na miundombinu kamili.
📍 Eneo: Sinza kwa Remy
📏 Ukubwa: 300 SQM
🏠 Nyumba: Vyumba 4 (tayari ndani ya fensi)
🛣️ Umbali: 300m kutoka Shekilango Road
📜 Umiliki: Hati halali ya Wizara ya Ardhi
💰 Bei ya ofa: TZS 400,000,000 (maongezi yapo)
Ni sehemu bora kwa kuishi, uwekezaji wa ofisi au nyumba za kupangisha.
Fursa kama hii hupatikana mara chache Sinza!
📞 Wasiliana sasa: 0764000725 / 0788 958 441
__
#investinyourdreams #sinza #ploforsale #houseforsale