Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam
Nyumba Nzuri Inatupwa
Mahali: Sinza Kijiweni
Bei: 500,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 6
Zipo 2 Kwenye Compound
☑️Vyumba 4, Kimoja Ni Master
☑️Sebule Dining Jiko Na Choo
☑️Fensi & Parking
☑️Umeme Mita Yako
☑️Reserve Tank
☑️Dawasa Maji 24/7
Gharama Ya Kuoneshwa Ni 30,000/= (Inalipwa Maramoja Na Itadumu Mpaka Upate)
#0786801000whatsapp