Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam
APARTMENT 5 ZA KISASA NA FREMU 2, TSHS.300 MILIONI,TABATA SEGEREA.
Hizi ni nyumba za kisasa zenye Wapangaji.
4 ni za Vyumba 2 ( Masta 1) Sebule na Jiko.
1 ina Chumba kimoja Masta.
Pia kuna Fremu za Maduka 2.
Kodi Jumla zinaingiza Tshs.2 Milioni/Mwezi.
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
______________mpg
Ni nyumba ya kisasa yenye nafasi ambayo imejengwa kisasa.
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.