Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


INAPANGISHWA — NYUMBA STAND-ALONE UBUNGO KIBO 💰 BEI: TZS 500,000 / MIEZI 5 📍 MAELEZO YA NYUMBA: • VYUMBA 4 VYA KULALA (VITATU MASTER KUBWA) • KILA MASTER BEDROOM INA MAJI YA MOTO NA BARIDI • SEBULE KUBWA SANA • JIKO KUBWA LENYE MAKABATI • TOILET NA BAFU ZA KISASA NDANI • PAKING KUBWA SANA • NDANI YA FENCE NA GETI • FULL PAVING BLOCK • MAJI YA TENK KUBWA • UMEME UNAJITEGEMEA 🚶♂️ ENEO & UFIKAJI: • IPO UBUNGO KIBO — DAKIKA 12 KWA MIGUU AU BODABODA TSH 1,000 TU 💵 GHARAMA ZA ZIADA: • KWENDA KUONA: TSH 15,000 • UKIIPENDA: UDALALI MWEZI 1 WA KODI ☎️ WASILIANA: (WEKA NAMBA YAKO HAPA) 👉 FAMILIA / OFISI ISIYO NA MADHARA KWA BINADAMU — KARIBU UIONE SASA.