Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


STAND ALONE FOR RENT
MBENI UBUNGO
PRICE USD 1000
KWA MWEZI
NYUMBA YA FAMILIA
YENYE
Vyumba Vinne vikubwa vya kulala Vyote Master
Sebule kubwa na dinning
Jiko lenye makabati, heater ya kuchemshia maji motto
Air condition, feni
Garden nzuri ya kuvutia
Parking shades