Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Uwanjani, Songwe
NYUMBA KUBWA YA KIFAMILIA INAPANGISHWA
LOCATION:
KWA MSUGURI
UMBALI KUTOKA STEND KILOMETA 1 ( DAKIKA 13 KWA MIGUU KUTOKA STEND
BARABARA NZURI YA RAMI YA ZEGE
UKISHUKA UNATEMBEA DAKIKA 2 UPO NDANI
SIFA ZAKE:
VYUMBA 4 VYA KULALA VIKUBWA
VIWILI MASTER
SEBULE KUBWA
DINING TABLE
JIKO ZURI LENYEMAKABATI
STORE
PUBLIC TOILET NDANI
IPO NDANI YA FENCE
PACKING SPACE KUBWA SANA
UWANJANI PAVING BLOCK
KODI 600,000 X 4
KUONA ELFU 15
MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
Simu
0679997610
0658884015
Msigwa