Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Bara, Songwe







MABOSS ZANGU DALALI WENU RICK LOSS NAWALETEA NYUMBA NZURI SANA INA UZWA BEI RAISI SANA TSH MIL 37 TU
NYUMBA IPO M BANDE RUFU NYUMA YA UWANJA WA AZAM KOPLEX
KAMA DAKIKA 5 TU
KUTOKA BARA BARA KUU YA LAMI KUJA KWENYE HII NYUMBA
NYUMBA INA VYUMBA VINNE VYA KULALA KIMOJA NI MASTER BEDROOM INA SITTING ROOM NA DAINING ROOM INA JIKO NA STORE NA PUBLIC TOYLETY INA KISIMA CHAMAJI NA UMEME UPO WA LUKU NJOO SITE UKAGUE MDAU WANGU NYUMBA NZURI SANA INA FENCE GARI NDOGO 3 ZINA INGIA NDANI
KWA MAELEKEZO ZAIDI NIPIGIE CM AU NICHEKI WHATSPP 0759 203175 0759 203175 0652618143