Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Bunju, Dar Es Salaam
NEW HOUSE FO SALE๐ฅ
IKO~DAR ES SALAAM Tz
MAHALI- BUNJU .B. KM 2 KUTOKA LAMI YA BAGAMOYO
BEI~375M
MAONGEZI YAPO
NYUMBA MPYA YA FAMILIA YENYE
UWANJA-SQM 1800
UMILIKI_HATI SAFI YA WIZARA
SIFA ZA NYUMBA๐
NYUMBA YENYE
Vyumba vinne vyote self contained
Sebule kubwa& dining
Public toilet
Office space
Boy qotta ya chumba na sebule
Garden
Tuwasiliane
๐ฒ 0682 402 327 ๐ถ
๐ฒ 0653 267 999 ๐ถ ya WhatsApp