Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Buswelu, Mwanza







NYUMBA inauzwa location buswelu
Vyumba 4 vyakulala viwili niself
Master 1
Sitting room
Dining room
Kichech
Public toilet
Store
Fenced
Pia Kuna kota ya chumba naseble self najiko
Bei million 170 mazungumzo yapo
Kiwanja Sqm 640
Call or WhatsApp 0754980027