Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Chamazi, Dar Es Salaam







NYUMBA INAUZWA β CHAMAZI, TEMEKE!
#0758998074π
_______________________________
Bei ya Ofa: Milioni 45 TU!
Wahi boss haikai hii
_________________________
MAELEZO YA NYUMBA:
_________________________
β
Vyumba 4 vya kulala β 1 ni Master Bedroom
β
Sebule kubwa ya kifamilia
β
Dining Room β sehemu rasmi ya kulia chakula
β
Jiko la kisasa β kwa mapishi ya starehe
β
Choo cha nje kwa matumizi ya public
β
Tiles safi za kisasa
β
Madirisha ya aluminium β ubora wa hali ya juu!
β
Umeme upo | Maji yapo tayari β Hamia bila tabu!
MAHALI:
_________________________
π Chamazi, Wilaya ya Temeke
π Mkoa wa Dar es Salaam β Tanzania
WASILIANA NASI LEO:
_________________________
PIGA SIMU
#0689138795whatsapp
#0758998074π