Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Goba, Dar Es Salaam
NYUMBA MPYAA INAUZWA
IPO GOBA NJIA 4, TEGETA A.
INA HATI MILIKI
BEI NI MILION 230 tshs
Ni nyumba ya Vyumba Vinne vya kulala, Viwili Masta, Sebule, Dinning, Jiko, Public Toilet, pamoja na servant Kota ya chumba na Choo.
MAWASILIANO ZAIDI
dalalimbezibeachtz
+255655708320 WhatsApp/Calls