Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Goba, Dar Es Salaam






NYUMBA INAUZWA BEI YA KUTUPA GOBA MAGETI
BEI: MILLION 45
INA VYUMBA VINNE VYA KULALA IKIWA CHUMBA KIMOJA NI MASTER, SEBLE KUBWA, DINNING ROOM, JIKO, STOO NA PUBLIC TOILET.
UMBALI: KILOMITA 1 KUTOKA LAMI
ENEO: SQM 450
➡️ DOCUMENTS ZA MAUZIANO YA SERIKALI YA MTAA
➡️HAINA CHANGAMOTO YOYOTE.
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU NDUGU MTEJA 🙏
PIGA SIMU 0789049684