Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Goba, Dar Es Salaam
NYUMBA INAUZWA
IPO GOBA MATOSA
BEI TSH MILIONI 120 MAONGEZI YAPO
UKUBWA WA ENEO SQM 500
UMILIKI; MAUZIANO YA SERIKALI YA MTAA
VYUMBA 4 VYA KULALA
VYUMBA VIWILI MASTER
SITTING ROOM
DINNING ROOM
KITCHEN
STORE
PUBLIC TOILET NJE NA NDANI
MAJI YAPO
UMEME UPO
PAVING BLOCK
GHARAMA YA KUPELEKWA SITE KUONESHWA NYUMBA TSH 30,000/=
PIGA SIMU KWA MAELEZO ZAIDI
0614130017
0788156493
0760053111