Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Goba, Dar Es Salaam
GOROFA L I N A U Z W A TZS 500 MILIONI
LOCATION GOBA NJIA 4 DAR ES SALAAM TZ
CHINI KUNA
✓ CHUMBA KIMOJA MASTER
✓ PUBLIC TOILET
✓ JIKO
✓ STORE
GOROFA YA KWANZA
✓ VYUMBA 4 VYA KULALA VYOTE MASTER
✓ BALCONY
PIA KUNA SERVANT QUATA
✓ CHUMBA KIMOJA
✓ SEBULE
✓ JIKO
✓ STORE
✓ PUBLIC
UKUBWA WA ENEO SQM 900
DOCUMENT HATI MILIKI YA WIZARA YA ARIDHI
BEI TZS 500 MILLION
NIPIGIE 0784156583/ 0627885467
WHATSAPP
0656011897
KUPELEKWA KUONYESHWA 30 OOO