Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Goba, Dar Es Salaam


NYUMBA YENYE VYUMBA 4,TSHS.95 MILIONI, GOBA NJIA-4,MATOSA ROAD.
Hii ni nyumba ya kisasa yenye nafasi na YAKUHAMIA.
Ipo ndani ya Fensi safi kwa usalama na mtaa umejengeka vizuri na ni tulivu.
Vyumba 4 (Masta 1)
Pia kuna Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
Pia kuna Servant's Quarter ya Chumba kimoja.
Parking ipo yakutosha.
__________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
__________________ryt


















