Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Goba, Dar Es Salaam
NYUMBA INA UZWA GOBA NJIA YA MAKONGO JUU
--------
SQMT 1200
HATI MILIKI SAFI
---------
SERVICE CHARGE 30,000/=
BEI MILIONI 550
----------
VYUMBA 4 VYA KULALA MASTER BEDROOM
SEBLE KUBWA
DINNING ROOM
JIKO KUBWA LA KISASA LINA MAKABATI
PUBLIC TOILET
SLIDE WINDOW
LUKU YAKO
HEATER YA MAJI MOTO MAJI BARIDI
GARDEN SAFI
NDANI YA FENCE
PARKING SPACE KUBWA SANA
-----------
CONTACT
📞#0676_218580 (WhatsApp)
📞#0693_673010
#dalali_big_viwanja_goba_mbezi🇹🇿