Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Goba, Dar Es Salaam


✨ NYUMBA NZURI YA KISASA INAUZWA – GOBA CRDB KWA AWADH BUS STAND 🏡
Unatafuta nyumba iliyo tayari kuhamia, yenye mazingira tulivu na hati miliki? Hii hapa ni nafasi yako!
📍 Mahali: GOBA KWA AWADH
🛏 Vyumba 4 (3 Master Bedroom)
🛋 Sebule
🍽 Jiko + Dining
🚽 Public Toilet
📐 Ukubwa wa Kiwanja: 400 sqm
✅ Eneo zuri, linalofikika kwa urahisi
✅ Umeme na maji vinapatikana
💰 Bei: TSh 220 Milioni
📉 Maongezi yapo mezani
📲 Piga/WhatsApp:
#0782428327