Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Ihumwa, Dodoma
Pagale lenye nyumba vinne linauzwa dodoma ihumwa
Pagale hili.lina vyumba vinne, vitatu mastaroom
Pagale lipo kwenye kiwanja cha m² 1500
Kiwanja kimepimwa
Pagale lina dining, jiko, sebule, playeroom
Umeme na maji vipo
Kutoka pagale lilipo mpaka mji wa kiserikal mtumba ni km 1
Bei ya pagale hili ni milion 48
Mawasiliano..0754827637