Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kibaha, Pwani







NYUMBA KUBWA MPYA YA FAMILIA INAUZWA BEI NI MILIONI 75 MAONGEZI YAPO
🌟 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 4 VIKUBWA VYA KULALA KATI YA HIVYO VYUMBA 2 NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
UKUBWA WA KIWANJA NI 25 / 20 METERS
DOCUMENT:- HATI SAFI YA MAUZIANO KUTOKA SERIKALI YA MTAA
BEI NI MILIONI 75 MAONGEZI YAPO
💫💫 NYUMBA HII IPO KIBAHA PICHA YA NDEGE NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 TUU NJIA YA GARI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
0713 636000
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 30 NDUGU MTEJA