Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kibamba, Dar Es Salaam


HOUSE FOR SALE, NYUMBA HII INAUZWA KIBAMBA SHULE BARABARA MPYA YA LAMI
Vyumba 4 vya kulala viwili master bedrooms sebule dinning jiko na public toilet
Eneo SQM 500
Umbali KM 3 Tu barabara ni lami na nyumba ya pili kutoka Lami( in short ipo barabarani
Eneo limepimwa hati bado, sales agreement kutoka serikal za mitaa
Bei Mil. 65 Maongezi yapo
Kupelekwa kuona nyumba za kununua 25,000/=
0679447338
0753454167