Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


NYUMBA ZINAUZWA KIGAMBONI
<> location kisota
<> nyumba ziko tatu Kwenye fensi moja na moja kati ya hizo nyumba Ina vyumba vinne viwili master sebule dining na jiko
✅nyumba ziko fenced
✅nyumba Zina nafasi kubwa ya parking
✅nyumba ziko Karibu na barabara kuu
✅maji yapo Kwenye nyumba
✅umeme upo Kwenye nyumba
<> ukubwa wa eneo ni SQM 700
✅HATI YA WIZALA
<> price: million 400
<> MAZUNGUMZO YA NDUGU WAWEKEZAJI KARIBUNI SANA
◾️mawasiliano
✅0628505896
✅0763954837



















