Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
Nyumba inauzwa kigamboni
location;.. ..#KigamboniCheka, Km23 kutoka ferry na mita 100 tu kutoka lami
Ukubwa wa Eneo lake ni #Sqm750, tayali ina OFFA, ukinunua jina la hati linatoka lakwako.
Bei;... Million 60, maongezi yapo
Nyumba ina vyumba vinne vya kulala, viwili ni master, sebule,dinning,jiko pamoja na publictoilet.
maji na umeme tayali vipo.
nipigiebkwa maelezo zaidi kupitia namba, 0656775637 0755489848
#wasafimedia
#cloudsmediagroup
#surveying