Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
BISMILLAH🌺 NYUMBA INAUZWA KIGAMBONI KIBADA BLOCK 16 BEI NI MILLION MIA MBILI NA ISHIRINI TU (220,000,000/=).
✅NYUMBA INA VYUMBA VINNE,
✅VIWILI MASTER,
✅SITTING ROOM,
✅DINING ROOM,
✅JIKO LINA MAKABATI,
✅PUBLIC TOILET,
✅CHUMBA CHA KUBADILISHIA NGUO KINA MAKABATI, ✅ELECTRICITY FENCE,
✅PAVING,
✅GARDEN PARKING KUBWA
✅UMEME
✅MAJI
✅FREM MOJA NA CHOO CHAKE etc...
KIWANJA KINA UKUBWA WA SQM 600 na KIMEPIMWA
UMBALI NI MITA MIA TANO TU KUTOKA MAIN ROAD
SITE VISIT KILA SIKU USAFIRI BURE
📍OFFICE:KIGAMBONI MJIMWEMA
call ☎️ 0657 015 990