Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kiharaka/Mingoi, Dar es Salaam (800 sqm)


Aina
Nyumba
Vyumba
4
Ukubwa
800 SQM
Barabara ya Karibu
400m — Bagamoyo Rd
Huduma na Sifa
Maelezo
IMESHUSHWA-BEI, SASA TSHS.150 MILIONI, KIHARAKA/MINGOI.
NYUMBA INA HATI (Title Deed) ya Wizara
Ipo Mita 400 kutoka Bagamoyo Rd.
Kituo kinachofuata baada ya Daraja la Bunju-B ukielekea Bagamoyo.
Kiwanja SQM.800
Vyumba 4 (Masta 1)
WAHI WAHI WAHI, USIJUTI BAADAE
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548.
____________jKG
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.




















