Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kijitonyama, Dar Es Salaam


NYUMBA/KIWANJA SQM.500, TSHS.350 MILIONI KIJITONYAMA SAYANSI.
Nyumba ni ya kizamani.
Ina vyumba vinne(4) Sebule,Jiko,
Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 500.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
_____________emN
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.