Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA INAUZWA IPO KIMARA MWISHO
BEI NI MILIONI 100 MAONGEZI YAPO
INA VYUMBA VINNE VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA DAINING JIKO ZURI KUBWA LENYE MAKABATI STORE
NYUMBA NI NZURI SANA YA KISASA IPO UMBALI WA KM 1 TU KUTOKA MOROGORO ROAD BRBR SAFI MPKA SAITI
IPO NDAN YA FENS PARKING SPACE IPO PARKING SPACE KUBWA
UKUBWA WA KIWANJA NI SQUARE MITA 400
UMILIKI NI HATI YA MAUZIANO SELEKALI ZA MITAA
PIGA SIMU
#0758998074👈
#0689138795whatsapp