Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kimara, Dar Es Salaam
#NYUMBA I N A U Z W A - KIMARA SUKA
#BEI: MILLION 280
✔️NYUMBA INA SEBULE KUBWA, DINNING ROOM, VYUMBA VINNE VYA KULALA #MASTA ZIPO TATU, JIKO KUBWA LENYE MAKABATI, CHOO NA BAFU VYA PUBLIC.
✔️NYUMBA IPO MTAA MZURI SANA ULIOJENGEKA VYEMA, NEIGHBOURHOOD NZURI SANA
✔️NYUMBA INA HATI YA WIZARA, CLEAN TITLE DEED
✔️PLOT SIZE NI 1167SQM
✔️UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI 2KM
✔️MAZUNGUMZO YAPO NJOO KAGUA NYUMBA KWANZA
KUPELEKWA NI 30K
☎️0788 077337 ☎️ 0625 637254