Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kinyerezi, Dar Es Salaam


🏡 NYUMBA INAUZWA KINYEREZI SHULE – BEI POA! 🏡
Nyumba safi kabisa, tayari kuingia leo hivi!
✅ Vyumba 4 (2 master)
✅ Sebule + Dining
✅ Jiko lenye makabati
✅ Choo cha umma
✅ Kisima + Tanki kubwa
✅ Paving yote + Parking
📏 Eneo: 700 sqm
💰 Bei: Mil 85 (inajadiliwa kidogo)
👀 Service charge ya kuona: 30,000/= tu
Mahali pazuri, salama na penye maendeleo ya haraka!
📞 Piga sasa: +255 688 412 890
Fursa haidumu – nyumba ya ndoto inakungoja! 🔥🏠


















