Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kivule, Dar Es Salaam
NYUMBA YENYE VYUMBA VINNE(4) TSHS.59 MILIONI, KIVULE CCM,UKONGA.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.650.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Vyumba 4 ( 2 Vyoo ndani) Pia kuna Sebule,Jiko,
Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani.
Parking ipo nsani ya Fensi.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
___________Ouk
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.