Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Madale, Dar Es Salaam


NYUMBA MPYA INAUZWA IPO NJIA
MADALE
Umbali km 1 kutoka madale road
BEI: INAANZIA MILLION 160
UMILIKI: MAUZIANO , KIWANJA KINAUKUBWA WA SQUARE METERS 600
TAARIFA ZA NYUMBA
◇ Nyumba imekamilika ina Vyumba 4 vitatu masters
◇Ina finishing safi
◇Sitting room
◇Dinning room
◇Open Kitchen
◇Public toilet
◇Ina maji
◇Ina fensi
◆Ina umeme
Ina parking ya kutosha
For more information Tupigie 0673 200 848 au
0768 007 315