Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Madale, Dar Es Salaam







NYUMBA NZURI SANA 🏡🏘️ INAUZWA
LOCATION: MADALE MITA 200 KUTOKA MAIN ROAD
INA VYUMBA VINNE VYOTE MASTER SEBLE DINING JIKO NA PUBLIC TOILET PIA INA SERVANT KOTA YA VYUMBA VIWILI NA SWIMMING POOL
ENEO LAKE LINA SQM 5000
HATI MILIKI IPO (TITLE DEED AVAILABLE)
BEI: $620,000 (NEGOTIABLE)
KWA MAWASILIANO ZAIDI
Call/ what’s up
+255673772289
Email:dalaliboris@gmail.com