Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Madale, Dar Es Salaam







Nyumba kali sana bangaloo inauzwa:
Room 4 zote self
Dirning sitting jiko stoo na public toilet
Servant cotar zipo 2
Room 2 moja self Sebule na jiko na public toilet
Na room 1 self sebule na jiko
Swimming pool 🏊♀️ 🏊♂️ garden
Eneo- sqm 5000
Umiliki- Hati miliki
Bei- B 1.5 maongezi
Location- madale polisi
Umbali-mita 300 kutoka main road
Karibuni
#0714128124