Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Magengeni, Mtwara


*Kiwanja cha Ekari 4 kinachogusa lami kinauzwa Boko Magengeni*
*Location* Kimegusa lami ya kuelekea Mbweni
*Distance* Kutoka Barabara ya lami Meter 0.0
*Ndani Ya Kiwanja:*
1. Kiwanda Au Godown Kubwa
2. Nyumba ziko 3 zenye Vyumba 4 Master, Jiko, Sebule na nyingine 6 nyumb Hazijamalizwa ukarabati mdogo wa ndani
3. Fremu zipo 6
4. Uwanja wa kutosha kati, pembeni kote
-Plot size Sqmtrs 16,100
-Document: Hati Miliki
*Bei shilingi Bilioni 3.5 maongezi yapo*