Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Makumbusho, Dar Es Salaam


NYUMBA LA KISASA LINAUZWA
@
Mahali makumbusho
@
Bei milioni 800 ( fiexd)
@
Mita 50 kutoka lami
@
Sqm 450
@
Vyumba 4 vyakulala vyote master sebule mbili ,diningi . Jiko . Vyoo
@
Ofisi sinza lego
Hati imenyooka
@
Garama ya kupelekwa ni sh 50000
@
Mpaka unapata nyumba
@
Kwa mawasiliano ya sm 0765383833
@
Namba ya wasp 0659848687