Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mapinga, Pwani







Nyumba inauzwa, Ipo Mapinga. Kutoka lami km 1
Ukubwa wa kiwanja Sqm 800, Nyumba ina Vyumba Vinne , Viwili Master, Sitting Room, Dining, Kitchen na Public.
Bei ni Milioni 130
Maji ya Dawasa
Tanesco
Gharama za Kuona 20000
Wasiliana nami kwa namba 0718 809744
0784234971