Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam
Nyumba Pagale Lina Uzwa Mbezi Mpigi machimbo
Location Mbezi Mwisho Mpiji Kituo Machimbo
Bei Million 15 Maongezi yapo Service Charge 50 Kuona Nyumba Site
Umiliki Lesseni ya Makazi
Plot size square mita 600
Sifa za Nyumba
===============
Room 4 zote ni Master Bedroom
Sitting Room Kubwa
Dining room
Jiko
Store
Public toilet
Maji ni Dawasa na umeme upo Jirani
Barabara ni nzuri mpaka Site
Funga Mwaka na Hiii
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Mr.