Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


NYUMBA KALI SANA INAUZWA
KUNA MTEJA ALIIFUNGA BIASHARA AKITEGEMEA MKOPO WAKE MWISHO WAKE AMEFELI BIASHARA IMERUDI TENA SOKON NA DOCUMENT ZOTE ANAZO MUUZAJI.
NYUMBA IPO MBEZI BICH JUU BARABARA YA KUELEKEA GOBA MASANA HOSP INATIZAMA LAMI.
INA ROOMS 4 MOJA MASTER BEDROOM KUBWA.
IPO JIRANI NA SHULE YA MOUNT KIBO PRIMARY SCHOOL.
NYUMBA NI KALI SANA
BEI ML 420 MAONGEZI KIDOGO.
PLPT SIZE SQM 1,000
Contact
0625584914