Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam
BANDA LINAUZWA BANDA LIPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA
UMBALI NI KILOMITA TATU KUTOKA MWENDOKASI
NYUMBA INAVYUMBA VINNE NI CHUMBA SEBULE
VYOTE VINA WAPANGAJI
ENEO SQM 400
NJIA YA MIGUU KAMA MITER 10 TU GARI INAISHIA HAPO
MAJI UMEME VIPO HAPO
BEI MIL 25
HATI MAUZIANO SELIKALI YA MTAA
SERVICE CHARGE 20000
KARIBU SANA MTEJA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347